2013-05-15 15:09:28

Heshimuni zawadi ya maisha, hasa kwa wale ambao bado hawajazaliwa!


Baba Mtakatifu Francisko anawakumbusha watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, Mwenyezi Mungu ndiye anayetoa zawadi ya maisha. Changamoto kwa kila mtu kuheshimu na kupenda maisha ya binadamu, lakini zaidi kwa wale ambao bado wako tumboni mwa mama zao.







All the contents on this site are copyrighted ©.