2013-05-14 07:47:26

Je, wewe ni mwaminifu kwa Kristo?


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii anauliza swali la msingi, Je, kama Wakristo, wamekuwa waaminifu kwa Kristo katika maisha yao ya kila siku? Je, wana uwezo wa kushuhudia imani yao kwa heshima na ujasiri mkuu?







All the contents on this site are copyrighted ©.