2013-05-13 09:14:38

Wakristo mnao dhulumuiwa msikate tamaa!


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, anawaalika kusali kwa ajili ya kuwaombea Wakristo wanaoendelea kukabiliana na madhulumu ya kidini sehemu mbali mbali za dunia. Anawaombea ili Mwenyezi Mungu awakirimie ujasiri wa kuendelea kuwa waaminifu.







All the contents on this site are copyrighted ©.