2013-05-13 12:15:18

Taasisi za fedha katika kudumisha mafao ya wengi na maadili katika Jamii


Baraza la Kipapa la haki na amani kwa kushirikiana na Benki pamoja na taasisi za fedha na wafanyabiashara wa Kikristo, wameanza majadiliano kuhusu mfumo wa Benki kwa ajili ya mafao ya wengi pamoja na maadili yanayopaswa kuzingatiwa na taasisi za fedha wakati wa kutekeleza majukumu yake ndani ya Jamii husika.

Mkutano huu umefunguliwa rasmi siku ya Jumatatu na Kardinali Peter Turkson, Rais wa Baraza la Kipapa la haki na amani na unatarajiwa kuhitimishwa hapo tarehe 14 Mei 2013.







All the contents on this site are copyrighted ©.