2013-05-11 12:31:22

Waangalieni wengine kwa jicho jipya kwani hao ni ndugu zenu katika Kristo wanapaswa kuheshimiwa na kupendwa


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, Roho Mtakatifu anawakirimia uwezo wa kuwaangalia wengine kwa jicho jipya, kwa kuwataza daima kama ndugu katika Yesu Kristo wanaopaswa kuheshimiwa na kupendwa.







All the contents on this site are copyrighted ©.