2013-05-09 11:56:50

Roho Mtakatifu anawakirimia waamini imani katika upendo na huruma ya Mungu!


Baba Mtakatifu Francisko anawaambia watumiaji wa mitandao ya kijamii kwamba, zawadi kubwa ambayo Roho Mtakatifu wanawaletea waamini ni ile ya kutumainia upendo na huruma ya Mungu. Kwa Siku kuu ya Kupaa Bwana kwenda mbinguni, waamini wanaanza kipindi cha Novena kama sehemu ya mchakato wa kujiandaa kwa ajili ya ujio wa Roho Mtakatifu.







All the contents on this site are copyrighted ©.