2013-05-07 10:50:47

Chuchumilieni utakatifu!


Katika mapambazuko ya Millenia ya tatu ya Ukristo, Baba Mtakatifu Francisko anawaalika waamini kutoridhika na maisha yao ya kikristo bali wachuchumilie utakatifu! Kimsingi utakatifu ni wito wa kwanza kwa kila Mkristo!







All the contents on this site are copyrighted ©.