2013-05-06 08:08:14

Msilipize kisasi, lakini haki itendeke!


Askofu mkuu Josephat Lebulu wa Jimbo kuu la Arusha Tanzania, mara kadhaa amewataka Wakristo nchini Tanzania kutolipiza kisasi kutokana na madhulumu ya kidini wanayokabiliana nayo nyakati hizi. Lakini anasema, mambo haya hayapaswi kufumbiwa macho kana kwamba, hakuna kinachoendelea nchini Tanzania. Haki inapaswa kutendeka! RealAudioMP3







All the contents on this site are copyrighted ©.