2013-05-03 10:39:33

Sala ina imarisha maisha ya kifamilia


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, anawaalika kujibidisha kusali kwa pamoja Rozari Takatifu. Sala inaimarisha maisha ya kifamilia.







All the contents on this site are copyrighted ©.