2013-05-01 12:01:10

Jifunzeni kutoka kwa Mtakatifu Yosefu ambaye kamwe hakukata tamaa!


Vijana wapendwa, jifunzeni kutoka kwa Mtakatifu Yosefu, aliyekumbana na magumu katika maisha yake, lakini kamwe hakukata tamaa, kiasi kwamba, akatambua namna ya kuvuka vizingiti vya maisha!

Ni ujumbe wa Baba Mtakatifu Francisko kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii, twitter wakati huu Jumuiya ya Kimataifa inapoadhimisha Siku kuu ya Wafanyakazi, kukiwa na bahari ya vijana ambao hawana fursa za kazi, jambo ambalo linawakatisha tamaa ya maisha!







All the contents on this site are copyrighted ©.