2013-04-30 14:17:40

Tumainieni nguvu ya Mungu mahali pa kazi!


Baba Mtakatifu Francisko anawaalika watumiaji wa mitandao ya kijamii kutumainia nguvu ya Mungu mahali pa kazi! Pamoja na Mwenyezi Mungu, mwanadamu anaweza kufanya mambo makubwa. Atamkirimia furaha ya kuwa ni mfuasi wake!







All the contents on this site are copyrighted ©.