2013-04-29 11:16:15

Tazama inavyopendeza kuwaonjesha wengine upendo!


Baba Mtakatifu Francisko anawaalika watumiaji wa mitandao ya kijamii maarufu kama twitter kuangalia jinsi inavyopendeza ikiwa kama kila mmoja wao angeweza kusema: leo nimefanya tendo la upendo kwa ajili ya wengine!







All the contents on this site are copyrighted ©.