2013-04-27 07:54:55

Hakuna Waraka kuhusu wanandoa walioachana!


Baraza la Kipapa la familia linakanusha uvumi ulioenezwa na baadhi ya vyombo vya habari kimataifa kwamba, Baba Mtakatifu Francisko anaandaa Waraka kwa ajili ya wanandoa waliotengana na baadaye kuoa au kuolewa. Baraza la Kipapa la Familia linasema habari hizi hazina ukweli wowote.







All the contents on this site are copyrighted ©.