2013-04-23 13:56:03

Yesu ni utimilifu wa upendo, ukweli na maisha!


Baba Mtakatifu Francisko kwenye ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii al maarufu kama twitter anasema kwamba, kila mtu moyoni mwake ana hamu ya kupendwa, kupata ukweli na kuwa na maisha... Yesu ni utimilifu wa mambo yote haya! Ndugu msomaji kazi kwako!







All the contents on this site are copyrighted ©.