2013-04-18 09:54:39

Balozi wa Falme za Kiarabu akutana na Papa Francisko


Baba Mtakatifu Francisko, Jumatano tarehe 17 Aprili 2013 mara baada ya Katekesi yake kwa mahujaji na wageni kutoka sehemu mbali mbali, alikutana na kuzungumza na Bwana Saleh Mohammad Al Ghamdi, Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Italia aliyewakilisha ujumbe maalum kwa Baba Mtakatifu Francisko kutoka kwa Mfalme Abdullah Bin Abdulazizi Al Saud.







All the contents on this site are copyrighted ©.