2013-04-13 12:10:46

Uteuzi wa mabalozi wapya wa Vatican nchini El Salvador na Libya


Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu mkuu Lèon Kalenga Badikebele kuwa ni Balozi mpya wa Vatican nchini Belize, kabla ya uteuzi huu, Askofu mkuu Badikebele alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini El Salvador.

Wakati huo huo, Baba Mtakatifu Francisko amemteua pia Askofu mkuu Aldo Cavalli kuwa Balozi mpya wa Vatican nchini Libya, kabla ya uteuzi huu, alikuwa Askofu mkuu Cavalli alikuwa ni Balozi wa Vatican nchini Malta.







All the contents on this site are copyrighted ©.