2013-04-08 15:04:16

Msiikatie tamaa huruma na uvumilivu wa Mungu


Baba Mtakatifu Francisko katika ujumbe wake kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii maarufu kama twitter, jumapili iliyopita anasema, inapendeza kumwona Yesu akiwaangalia wafuasi wake, ni uso unaofariji. Anawataka waamini kutoikatia tamaa huruma na uvumilivu wa Mungu. Itakumbukwa kwamba, Jumapili iliyopita, Mama Kanisa ameadhimisha Jumapili ya Huruma ya Mungu.







All the contents on this site are copyrighted ©.