2013-03-30 09:45:24

Rais Uhuru Kenyatta ashinda kesi!


Jaji wa Mahakama kuu ya Kenya Willy Mutunga katika akaunti yake ya mtandao wa twitter anasema kwamba, Mahakama kuu ya Kenya inatarajiwa kutoa hukumu ya kesi ya rufaa inayopinga matokeo ya uchaguzi mkuu nchini Kenya, uliofanyika hivi karibuni, na kumpatia ushindi Rais Uhuru Kenyatta, Jumamosi, tarehe 30 Machi 2013.

Wachunguzi wa masuala ya kisiasa wanafuatilia mchakato huu wa umakini mkubwa, wakiwa bado wanakumbu kumbu za machafuko ya kisiasa yaliyojitokeza nchini Kenya kunako mwaka 2007.







All the contents on this site are copyrighted ©.