2013-03-28 12:51:21

Waombeeni Mapadre wenu!


Baba Mtakatifu Francisko katika Maadhimisho ya Alhamis Kuu, Siku ambayo Mama Kanisa anakumbuka kwa namna ya peke, Yesu alipoweka Sakramenti ya Ekaristi Takatifu, Daraja Takatifu na Huduma ya Upendo, anawaalika watumiaji wa mtandao wa twitter, kuwa karibu na Mapadre wao kwa njia ya upendo na sala, ili daima waweze kuwa ni wachungaji kadiri ya moyo wa Kristo.







All the contents on this site are copyrighted ©.