2013-03-13 15:33:47

Fuatilia mchakato wa kumtangaza Papa Mpya kwa anuani ifuatayo: rv.va/conclave


Kwa watumiaji wa Mtandao wa Vatican pamoja na wasikilizaji wa Radio Vatican popote pale walipo, wanaweza kufuatilia mchakato wa kumtangaza Papa Mpya wakati utakapowadia kupitia kwenye mtandao wa Vatican kwa kusikiliza na kuangalia kile kinachotendeka moja kwa moja kwa anuani ifuatayo:
rv.va/conclave

Tafadhali mjulishe pia jirani yako!







All the contents on this site are copyrighted ©.