2012-12-24 16:06:49

Wadomenikani wakumbuka mahubiri ya kihistoria


Katika adhimisho la Jumapili ya nne ya Majilio, Wadomenikani duniani kote, walifanya kumbukumbu ya mahubiri ya kihistoria, yaliyokemea na kulaani vikali ukosefu wa Haki katika Jamii, hasa yakilenga kwa watu mahalia,walio porwa haki ya utu wao na maisha huru ya kiutu na utulivu.
Mahubiri hayo yalitolewa mwaka 1511 katika kisiwa cha Hispaniola, ambayo kwa sasa inajulikana kama taifa la Haiti na Jamhuri ya Dominika RealAudioMP3







All the contents on this site are copyrighted ©.