2012-12-24 16:21:06

hakuna kupanda ngazi kwa kutumia dini -


Askofu Kukah amekemea wanasiasa wanaotaka kupandia ngazi kupitia mgongo wa dini. Na kwamba kuwa kiongozi bora si kisomo, bali yule anayetunza uaminifu na uwajibikaji kazini.
Askofu Mathew Kukah wa Jimbo la Sokoto, Kaskazini mwa Nigeria, alieleza hilo , huku akiwashutumu wanasiasa wanaotafuta kutumia dini kuharibu eneo la Kaskazini kwa manufaa yao binafsi. Hayo aliyatoa katika mahubiri yake wakati wa Ibada iliayosomwa kwa ajili ya mtu mashuhuri katika eneo hilo Marehemu Yakowa. RealAudioMP3







All the contents on this site are copyrighted ©.