2012-11-27 15:11:02

Maaskofu wa Makanisa Katoliki ya Mashariki wakamilika mkutano wao.


RealAudioMP3 Mkutano wa Maaskofu wa Makanisa Katoliki ya Mashariki Ulaya, ulikamilika Jumatatu na azimio la Jinsi ya kuboresha mchango wa Makanisa Katoliki ya Mashariki barani Ulaya. Hasa ufanikishaji wa majadiliano ya kiekumeni sambamba na ongezeko la idadi ya wahamiaji kutoka Mashariki ya Ulaya na Afrika wakiwemo waamini wa Makanisa Katoliki ya Mashariki. Na kwamba Kanisa linapaswa kutambua mapungufu yake lenyewe, kuhusu mapokeo ya kiliturujia, kiteolojia na Kiutamaduni. RealAudioMP3








All the contents on this site are copyrighted ©.