2012-11-23 13:51:28

Hatutanyamaza kamwe


Chama cha Kutetea maisha nchini Tanzania , kinachojulikana kwa jina, Hatutanyamaza kamwe, kimepania kuendeleza kampaeni yake kwa kishindo dhidi ya vizuia mimba, kupitia mpango wa kuielimisha jamii kuhusu madhara ya kutumia vizuia mimba vinavyotengenzwa na makampuni mbalimbali. Mkurugenzi wa kampeini hiyo Emil Hagamu anasema, RealAudioMP3







All the contents on this site are copyrighted ©.