Mtandao Mpya kwa Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani 2013
Kamati ya Maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani kwa Mwaka 2013 itakayofanyika
mjini Rio de Janairo, imezindua mtandao mpya, utakaotumiwa na watu mbali mbali ili
kuweza kupata habari maalum kuhusu maadhimisho haya. Mtandao huu kwa sasa unaweza
kusomeka katika lugha zifuatazo: Kireno, Kiingereza, Kiitaliani, Kihispania, Kijerumani,
Kifaransa na Kipolandi.
Unaweza kuangalia yale yaliyomo kwenye mtandao huo
kwa anuani ifuatayo: