2012-11-09 14:38:38

Monsinyo Angelo Vincenzo Zani ateuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Kipapa la Elimu Katoliki


Baba Mtakatifu Benedikto wa kumi na sita, amemteua Monsinyo Angelo Vincenzo Zani kuwa Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa la Elimu Katoliki na kumpandisha hadhi ya kuwa ni Askofu mkuu. Kabla ya uteuzi wake, alikuwa ni Katibu mkuu msaidizi wa Baraza la Kipapa la Elimu Katoliki.







All the contents on this site are copyrighted ©.