2012-10-05 15:44:06

Orodha ya wajumbe wa Mkutano wa 13 wa Sinodi ya chapishwa


Kwa mujibu wa Ofisi ya Maandalizi ya Mkutano wa 13 wa Sinodi ya Kawaida ya Maaskofu, idadi ya washiriki wa Sinodi hiyo kibara kama ifuatavyo: Ulaya 103, America 63, Afrika 50 , Asia 39 na Oceania 7. Pia kuna waalikwa watalam 45 na wahariri 49.

Kwa kuwa orodha ni ndefu, tunawatolea tu Orodha ya kutoka Afrika ( jimbo na nchi anakotoka katika mabano):
Askofu Paul DESFARGES, S.I.( Constantine, Algeria), Askofu José NAMBI, ( Kwito-Bié ,Angola) Asofu Clet FELIHO, (Kandi Benin)Kardinali Wilfrid Fox NAPIER, O.F.M., ( Durban Afrika Africa), AskofuMkuu William Matthew SLATTERY, O.F.M.,( Pretoria, jimbo kwa ajili ya kazi za kichungaji jeshini Afrika Kusini, Askofu Dèr Raphaël DABIRÉ KUSIÉLÉ, ( Diébougou, Burkina Faso), Askofu Bonaventure NAHIMANA, (Rutana Burundi) Askofu Mkuu Joseph ATANGA, S.I., Bertoua, na Rais wa Baraza Maaskofu Cameroon, AskofuMkuu Cornelius Fontem ESUA,(Bamenda Cameroon), Askofu Joachim KOURALEYO TAROUNGA, ( Moundou Chad).
Wengine ni Askofu Yves Marie MONOT, C.S.Sp., Ouesso jamhuri ya congo, Askofu Nicolas DJOMO LOLA, (Tshumbe, na Rais wa Baraza la Maaskofu DRCongo.) Kardinali Laurent MONSENGWO PASINYA, ( Kinshasa), Askofu Marcellin Yao KOUADIO, ( Yamoussoukro, Ivory Coast), Markos GHEBREMEDHIN, C.M., ( Gummi na Jimma-Bonga, Etiopia)Askofu Mathieu MADEGA LEBOUAKEHAN, ( Port-Gentil Gabon) Patrick Daniel KOROMA, (Kenema na Rais wa Baraza la Maaskofu Sierra Leone), Askofu Gabriel Akwasi Ababio MANTE( Jasikan, Ghana).

Askofu Raphaël Balla GUILAVOGUI, ( N'Zérékoré, Guinea), Askofu Juan NSUE EDJANG MAYÉ, ( Ebebiyin, na makamu wa Rais wa Baraza laMaaskofu Equatoria Guinea). Kardinali John NJUE, (Nairobi, na Rais wa Baraza la Maaskofu Kenya), AskofuMkuu Peter J. KAIRO, ( Nyeri Kenya). Askofu Mkuu Gerard Tlali LEROTHOLI, O.M.I.( Maseru, na Rais wa Baraza la Maaskofu Lesotho), Askofu Anthony Fallah BORWAH, (Gbarngal Liberia), Askofu Rosario Saro VELLA, S.D.B.( Ambanja Madagascar), Askofu Thomas Luke MSUSA, S.M.M.,( Zomba Malawi), Askofu Jean-Baptiste TIAMA( Sikasso, NA Rais wa Baraza la Maaskofu Mali), Askofu Adriano LANGA, O.F.M., ( Inhambane Msumbiji),Askofu Phillip PÖLLITZER, O.M.I., (Keetmanshoop Namibia,

Askofu Matthew Hassan KUKAH,( Sokoto Nigeria), Askofu Emmanuel Adetoyese BADEJO,(Oyo Nigeria ),Askofu John Ebebe AYAH, ( Ogoja Nigeria )Askofu MAHUZA YAVA, S.D.S., (Askofu a Jina Apisa na vika wa kitume katika visiwa vya Comoro), Askofu ard MATHOS, ( Bambari na Rais wa Baraza la Maaskofu Jamuhuri ya Afrika Kati)Askofu Jean Damascène BIMENYIMANA, ( Cyangugu Rwanda) Askofu Ernest SAMBOU, (i Saint-Louis du Sénégal Senegal), Askofu Edward Hiiboro KUSSALA, (Tombura-Yambio Sudan).

Askofu Salutaris Melchior LIBENA,( Ifakara Tanzania)Askofu Beatus KINYAIYA, O.F.M. ( Mbulu Tanzania). Askofu Nicodème (Anani Togo9, BARRIGAH-BÉNISSAN, ( Atakpamé) Askofu Joseph Anthony ZZIWA, Kiyinda-Mityana Uganda) Askofu Sanctus Lino WANOK,( Nebbi Uganda) Askofu Benjamin PHIRI, Askofu wa Jina Nachingwea, na Askofu Msaidizi wa Chipata Zambia)AskofuMkuu Alexander Thomas KALIYANIL, S.V.D., Bulawayo zimbabwe).

Pamoja nao pia Papa amewateua Kardinali Polycarp PENGO ( Dar es Salaam Tanzania , ambaye pia ni Rais wa SECAM), na Askofu Mkuu John Olorunfemi ONAYEIKAN( Abuja Nigeria).








All the contents on this site are copyrighted ©.